Ticker

6/recent/ticker-posts

Simba Yaabdika Historia Mpya


 

Klabu ya simba imeandika historia nyingine kwakuuza tiketi zote za kiingilio cha uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye tamasha lao la Simba Day.

Simba ilianza kuuza tiketi Julai 25 mwaka huu na hivyo wametumia siku tisa tu kujaza uwanja huo wenye uwezo wa kubeba mashabiki 60,000.

“Historia mpya imeandikwa kwa tiketi zote kununuliwa siku tatu kabla ya SIMBA DAY”. Ilisema taarifa ya simba

Post a Comment

0 Comments