Zanlight blog ni blog ya kutoa habari yenye lengo la kuleta mapinduzi ya habari ili kukufanya ww msomaji wetu uweze kupata habari za uhakika na kwa wakati.
Zanlight Blog itaangazia mambo mbalimbali ikiwemo Siasa,Jamii,Uchumi,Sanaa,Michezo,Utamaduni,Utalii pamoja na makala mbalimbali hususan kwenye makala za vitu vya kimaumbile na watu mashuhuri tutaangaza historia zao.
0 Comments