Klabu ya simba leo Agosti 16, 2021
imethibitidha kuwauza wachezaji wake wawili wa kimataifa.
Katika taarifa iliyotolewa na kitengo cha
habari cha klabu hiyo imewataja wachezaji hao kuwa ni Clatous na Luis
Miquissone huku taarifa hiyo ikiwa
haikutaja timu waliouzwa wachezaji hao wala thamani waliouzwa.
Aidha klabu ya Simba imewashukuru wachezaji
hao kwa mchango mkubwa walioutoa wakati wakiitumikia klabu hiyo
0 Comments